Kampuni
ya J-Film 4 Life inapenda kuwajulisha kuwa sasa imeongeza vifaa vipya
vya movie vyenye viwango vya kimataifa. Tegemeeni kupata movie katika
quality ya hali ya juu sana kutoka J-Film 4 Life iliyoko Kinondoni
Biafra Tanzania.
Kama wewe ni msanii wa Bongo Movie unakaribishwa katika kampuni yetu ya kisasa.
Mmeona mambo haya!!!
Kazi imepamba moto katika kuchagua stand maridadi kwaajili ya camera
Duh hii kiboko!!!
Mama yangu kazi imeanza..ni balaaaa!!!!
Mhh!!
Baada ya kuchagua saaaaana , nikaamua kupumzisha akili kwanza...!!!
Duh hizi silaha au stand????
Kazi imeanza sasa kutafuta Boom Mic ya ukweli, si unajua mambo ya sauti kwenye movieeeeee!!!
Nikikagua Stick ya Boom
Mhh!! Kazi ipo!!!
Bei gani kwani??
Iko poa!!!
What?
SIKU YA PILI KAZI ILIENDELEA YA KUTAFUTA VIFAA VINGINE BORA VYA MOVIE.
SIKU YA PILI KAZI ILIENDELEA YA KUTAFUTA VIFAA VINGINE BORA VYA MOVIE.
Leo kazi ipo!!!
Baada ya zoezi zima kumalizika ukafika wakati wa kupata snaps za kumbukumbu
No comments:
Post a Comment